BREAKING: SCHOOL BUS YAUA 10 MTWARA (+VIDEO)

Na Mwandishi Wetu, Watu 10 wakiwemo wanafunzi 8, dereva na mwanamke mmoja wamefariki dunia na wengine 18 wamejeruhiwa katika ajali ya basi la shule ya king David iliyotokea mapema leo asubuhi Mjini Mtwara wakati wakielekea shuleni Mkuu wa mkoa wa Mtwara Brigedia Generali Marco Gaguti amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo “Nimepokea salamu za rambirambi kutoka